"Diary" ya Kwake Nkrumah yarudishwa baada ya miaka 40
Kitabu cha kumbu kumbu alichokuwa anatumia Raisi Nkrumah kimerudishwa nchini Ghana baada ya Miaka 40 tangu kuibiwa.Bonyeza zaidi hapa kusoma zaidi
Kitabu cha kumbu kumbu alichokuwa anatumia Raisi Nkrumah kimerudishwa nchini Ghana baada ya Miaka 40 tangu kuibiwa.Bonyeza zaidi hapa kusoma zaidi
Duh huu utani sasa.Bofya hapa, najiuliza huyu matamshi haya alikuwa anatania kama kawaida wanavyotuambia au? duh! a'fu anasema mwakani anaanza kujenga bara bara za juu(flyover).
Wasanii wa kibongo muda sasa wamekuwa wanalalamikia mapato madogo kutokana na kazi zao.Lawama mara nyingi ukiwasikiliza wanazitupia kwa watangazaji(Djs) wa redio au wasambazaji(wadosi) hawa kwa mujibu wasanii wamekuwa wanawapiga ganji la kufa mtu.Djs wawanaomba mlungula ili ngoma yako ichezwe redioni wadosi ndio duh!
Bringin' us promises, leavin' us poor
Mtandao wa kijamii Twitter kwa muda kidogo umekuwa chini kama unavyoonekana pichani.Mitandao ya kijamii imekuwa maarufu katika nchi za Afrika siku za karibuni baada ya gharama za matumizi ya simu kushuka kwa kiwango kidogo.